Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Maigizo ya kawaida:Sifa za Mwigizaji bora

 (4m 59s)
4165 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Maigizo ya kawaida
i) Michezo ya Kuigiza
-Maigizo ambayo huwasilishwa na watendaji jukwaani mbele ya watu.
Sifa za Mwigizaji bora
a) Awe jasiri ili aweze kuigiza mbele ya watu/hadharani.
b) Awe na ubunifu ili aweze kufanya uigizaji kuvutia.
c) Awe na ujuzi wa kutumia ishara za uso, mwili na miondoko.
d) Awe na ujuzi na ufasaha wa lugha ili kuwasilisha mawazo kwa njia mwafaka.
e) Aweze kubadilisha toni na kiimbo kulingana na hali.


|