Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Nyimbo za wawe au vave , Nyimbo za Uwindaji na majukumu yake

 (4m 38s)
1833 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
a) Wawe/vave
-Zinazoimbwa wakati wa kulima.
b) Nyimbo za uwindaji
- Zilizoimbwa watu wakienda au kutoka katika uwindaji.
Majukumu ya nyimbo za uwindaji
a) Kumburudisha mwindaji.
b) Kumtoa mwindaji upweke.
c) Kusifu mnyama.
d) Kujasirisha wawindaji.


|