Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Vitendawili na sifa zake:
Vitendawili -Semi ambazo hutolewa kwa mtu kwa mfano wa swali ili azifumbue.

Sifa
a) Huwa vifupi kimaelezo.
b) Hutumia lugha ya kimafumbo.
c) Hutolewa mbele ya hadhira.
d) Hutumia ufananisho wa kijazanda.
e) Huwa na wakati maalum wa kutolewa yaani jioni.
f) Huweza kuwa na fomyula/muundo maalum
i. Mteguaji: Kitendawili ii. Mteguaji: Tega

 (3m 51s)
7379 Views     SHARE

Download as pdf file


|