Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Aina ya vitendawili
a) Sahili -Vina muundo rahisi/maneno machache k.m Akiona mwangaza wa jua hufa-samaki.
b) Tata -Vyenye majibu tofauti
c) Kisimulizi -Masimulizi k.m. Kulikuwa na baba ng’ambo moja ya mto na binti zake wawili ng’ambo ya pili. Alikuwa na maembe mawili aliyopaswa kuyavukisha pamoja apelekee binti zake. Angefanya nini?
d) Vya tanakali k.m. Parrrr! Mpaka Makka-utelezi.

 (3m 27s)
5893 Views     SHARE

Download as pdf file


|