Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Maana na Sifa za Ngonjera

 (4m 57s)
11523 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Ngonjera
- Mashairi ya kujibizana/kulumbana-yenye muundo wa kimazungumzo.
Sifa za Ngonjera
a) Huwa na wahusika wawili au zaidi.
b) Mhusika mmoja huuliza jambo na mwingine hujibu.
c) Huendelezwa kwa njia ya wimbo.
d) Wahusika kupingana mwanzoni.
e) Wahusika huafikiana kufikiwa mwisho.


|