Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Hasara za mivigha

 (5m 25s)
7296 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Hasara za mivigha
a) Baadhi ya mivigha huhatarisha afya na maisha k.v. kutahiri watoto wa kike.
b) Baadhi ya sherehe hukiuka maadili kama vile kwa kuruhusu matusi hata kushiriki ngono.
c) Baadhi yaweza kusababisha hasara kama vile kueneza ukimwi k.v. tohara kwa kisu kimoja.
d) Huzua tofauti za kijinsia k.v. mwanamme kujiona bora kuliko mwanamke.
e) Kuzua utabaka baina ya waliopashwa na wasiopashwa tohara.


|