Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Maana ya nyimbo kongozi,Jadiiya na nyimbo za Kuzaliwa kwa Mtoto

 (4m 4s)
2184 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
i) Kongozi
-Za kuaga mwaka katika jamii za waswahili.
ii) Jadiiya
-Nyimbo za jadi ambazo hupokezwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine.
-Huhusu matukio ya kihistoria k.v. shujaa, mateso, njaa, n.k.
iii) Nyimbo za Kuzaliwa kwa Mtoto
-Za kuonyesha au kuadhimisha kuzaliwa kwa mtoto.


|