Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Umuhimu wa ngoma

 (3m 50s)
1091 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Umuhimu wa ngoma
(a) Kuburudisha kwa ufundi wa kucheza kwa kuzingatia miondoko.
(b) Kitambulisho cha jamii.
(c) Kuhifadhi na kuendeleza tamaduni za jamii husika.
(d) Kukuza uzalendo kwa kuwafanya wanajamii kuionea fahari jamii.
(e) Kukuza umoja na ushirikiano


|