Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Umuhimu wa chemsha bongo:
a) Kuimarisha stadi ya kusikiliza.
b) Kuimarisha kufahamu.
c) Kutoa mawaidha.
d) Kufunza kuhusu maumbile.
e) Kuimarisha uwezo wa kukumbuka.
f) Kufunza mambo kuhusu mazingira na maumbile.
g) Kukuza uwezo wa kutumia lugha.

 (4m 23s)
1706 Views     SHARE

Download as pdf file


|