Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Maana na majukumu ya nyimbo za taifa

 (4m 47s)
938 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Nyimbo za Taifa
-Nyimbo zinazoimbwa na watu wa taifa fulani.
Majukumu
a) Kutambulisha taifa fulani.
b) Kuonyesha utaifa.
c) Kuonyesha uzalendo (mapenzi kwa nchi).
d) Kuhimiza uzalendo.
e) Kukashifu wasio wazalendo.
f) Kusifu taifa fulani.


|