Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Maana na aina za maghani Simulizi

 (3m 36s)
1112 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Maghani Simulizi
i) Sifo
-Tungo za kusifu watu kutokana na matendo yao ya kishujaa.
-Sifa zake hukaribiana na za tenzi hasa ikiwa ni shujaa anasifiwa.
ii) Tendi/tenzi
Ushairi mrefu unaoelezea maisha ya mashujaa tangu kuzaliwa hadi kufa kwao.
-K.v. Utenzi wa Fumo Liyongo, Sundiata, Shaka Zulu, Wang`ombe waihura n.k.


|