Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Umuhimu wa vitendawili:
a) Kuburudisha jioni baada ya kazi.
b) Kukuza ubunifu wa kuvitunga na kulinganisha vitu katika mazingira.
c) Kuimarisha uwezo wa kukumbuka.
d) Kukuza uwezo wa kufikiri kwani mfumbiwa huhitaji kufikiri sana.
e) Kuleta umoja na ushirikiano katika jamii kwa kuleta watu pamoja.

 (3m 9s)
5220 Views     SHARE

Download as pdf file


|