Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Mbinu za lugha: Balagha, taswira, kinaya, koja
1.Mdokezo - Mambo kuachwa bila kumalizwa. Mfano;lakini…….
2.Balagha - Maswali yasiyohitaji majibu.
3.Taswira -Ujenzi wa picha akilini. 4.Kinaya -Mhusika kutumia maneno au matendo yaliyo kinyume cha inavyotarajiwa.
5.Koja -Kuorodhesha maneno na vitenzi kwa kutumia koma.

 (5m 7s)
3204 Views     SHARE

Download as pdf file


|