Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Tashbihi: Maana, sifa na umuhimu wa tashbihi:
Tashbihi - Misemo ya ulinganisho

Sifa
a) Ni fupi. b) Hutumia viungio kama, mithili ya, n.k. c) Hulinganisha. d) Huwa na ujumbe wa kina. e) Hutoa taswira ambayo husaidia keleza hulka kikamilifu.

Umuhimu
a) Kueleza sifa za kinazozungumziwa
b) Kuongeza lugha utamu c) Kuonyesha umilisi wa lugha wa mtumizi

 (5m 50s)
7380 Views     SHARE

Download as pdf file


|