Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Nyimbo za mapenzi na sifa zake

 (3m 55s)
1581 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Nyimbo za mapenzi
-Zilizoimbwa kutoa hisia za mapenzi.
Sifa za nyimbo za mapenzi
a) Huwa na ujumbe wa kimapenzi.
b) Maneno matamu yenye hisia nzito.
c) Matumizi ya chuku k.m. sili wala silali.
d) Huwa zina sifa au kashfa.


|