Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Umuhimu wa ngonjera , maana na sifa za mazungumzo

 (7m 36s)
2613 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Umuhimu wa ngonjera
a) Majibizano hukuza ubunifu kwa kila mmoja kuonyesha umaarufu.
b) Kukuza ujasiri wa kuzungumza hadharani.
c) Kuimarisha stadi ya kuongea.
d) Kuburudisha hadhira.
MAZUNGUMZO
-Maongezi yam domo yenye usanii.
Sifa za mazungumzo
a) Huwa maongezi yenye usanii mkubwa.
b) Hutolewa mbele ya hadhira.
c) Hutolewa kwa njia isiyokera.
d) Huambatana na sherehe fulani.
e) Hutegemea sauti na vitendo.
f) Huhusisha matumizi ya ishara k.v. za uso, mikono na miondoko.


|