Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Umuhimu wa lakabu:
- Huwa njia ya washairi ya kujitangaza bila kujisifu moja kwa moja.
- Hutumiwa kama ishara ya heshima kwa anayestahili heshima k.m. kiongozi.
- Kuficha utambulisho au jina halisi la mtu.

 (4m 38s)
3248 Views     SHARE

Download as pdf file


|