Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Majukumu ya nyimbo bembelezi

 (3m 10s)
2458 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Majukumu ya bembelezi
a) Kumnyamazisha mtoto anapolia.
b) Kuwaongoa watoto walale.
c) Kutumbuiza watoto.
d) Kusuta wasiowapa watoto malezi mema.
e) Kuonya mtoto dhidi ya tabia hasi k.v. kulia ovyo.


|