Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Maana ya nahau na mifano yake:
Nahau - Fungu la maneno lenye maana tofauti na maana ya kawaida ya maneno hayo.
Mifano:
a) Kuasi ukapera -kuoa
b) Kupiga vijembe - sema kwa mafumbo
c) Ndege mbaya
-bahati mbaya

 (2m 44s)
40167 Views     SHARE

Download as pdf file


|