Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Matumizi ya lugha katika methali: Taashira, Kweli kinzani, Tanakuzi

Taashira
a) Kimya kingi kina mshindo mkubwa.
b) Kuku mgeni hakosi kamba mguuni.

Kweli kinzani
a) Wagombanao ndio wapatanao.
b) Ukupigao ndio ukufunzao.
c) Kuinamako ndiko kuinukako.
d) Mwenye kelele hana neno.
e) Kimya kingi kina mshindo mkubwa.

 (4m 55s)
4619 Views     SHARE

Download as pdf file


|