Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Maana na Sifa za maigizo

 (4m 13s)
5744 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
MAIGIZO
-Utanzu wa fasihi simulizi unaoambatana na vitendo.
-Sanaa ya mazungumzo yanayoambatana na vitendo.
Sifa za maigizo
a) Huwa na watendaji au waigizaji.
b) Huwasilishwa mbele ya hadhira.
c) Huwasilishwa mahali maalum k.v. ukumbini.
d) Huwasilishwa kwa mazungumzo na matendo
e) Waigizaji hujivika maleba yanayooana kutia uhai maigizo.


|