Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Sifa za ngoma

 (3m 28s)
1078 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Sifa za ngoma
a) Huandamana na muziki na ala ya muziki k.v. ngoma.
b) Ngoma huchezewa mahali wazi na penye hadhira.
c) Wachezaji huvaa maleba maalum kulingana na funzo linalonuiwa.
d) Huweza kuandamana au kutoandamana na sherehe.


|