Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Maana na majukumu ya nyimbo za vita

 (5m 23s)
1136 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Nyimbo za Vita
-Zinazoimbwa na askari vitani au baada ya vita.
Majukumu ya nyimbo za vita
b) Kuburudisha washiriki.
c) Kufunza namna ya kukabiliana na adui.
d) Kujasirisha washiriki.
e) Kusifu askari vitani.
f) Kukejeli uoga.
g) Kusifu mashujaa wa zamani.
h) Kukuza uzalendo kwa kuhimiza watu kuiga mashujaa.


|