Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Semi - Tungo fupi zinazowasilisha ujumbe kwa kufumba au kuchora picha.
Sifa za semi
a) Huwa fupi kwa kuwasilisha ujumbe mrefu kwa maneno machache.
b) Ni tanzu tegemezi kwani hutegemea tanzu nyingine kama vile hadithi, mazungumzo, n.k.
c) Hazibadiliki vivi hivi.
d) Baadhi ni kielelezo cha maadili k.v. methali.

 (4m 3s)
11186 Views     SHARE

Download as pdf file


|