Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Ushairi: Sifa na majukumu ya ushairi
- Ushairi ni utanzu wa fasihi unaotumia lugha ya mkato inayoeleza maudhui yake kwa ufupi.

Sifa za ushairi
a) Hutumia lugha ya kimkato.
b) Huwasilishwa mbele ya hadhira.
c) Huwasilishwa na mtu mmoja au kundi la watu.
d) Huwa na muundo maalum k.v. beti, vipande na vina.
e) Hutegemea sauti iliyo kipengele muhimu.
...................

 (10m 43s)
8588 Views     SHARE

Download as pdf file


|