Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Udhaifu wa Ngomezi

 (3m 48s)
1997 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Udhaifu wa Ngomezi
a) Si kila mtu anaweza kufasiri ujumbe unaokusudiwa.
b) Mapigo hayasikiki mbali na hivyo husikika na idadi dogo ya watu.
c) Mapigo yaweza kuhitilafiana na hivyo kufasiriwa kwa namna tofauti.


|