Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Mambo ya Kuzingatia katika Uchambuzi wa Hadithi/Ngano:
a) Kueleza aina ya ngano kwa kuzingatia wahusika na maudhui -Ngano yaweza kuwa ya mazimwi na ya mashujaa kwa wakati mmoja. -Ngano yaweza kuwa hurafa, ya usuli na ya kiayari.
b) Kutaja wahusika
c) Kufafanua sifa za wahusika wakuu
d) Maadili/mafunzo yanayojitokeza katika hadithi
e) Kubainisha sifa za ngano/hurafa/hekaya, n.k. zinazojitokeza katika hadithi.
f) Kueleza umuhimu wa fomyula ya kuanzia/wimbo uliotumiwa katika hadithi.
g) Kubainisha tamathali za usemi zilizotumiwa katika hadithi fulani
h) Kuonyesha jinsi ngano inavyoshughulikia maudhui fulani.

 (7m 3s)
19212 Views     SHARE

Download as pdf file


|