Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Maana na Sifa za maapizo

 (4m 47s)
3777 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Maapizo
- Maombi maalum ya kumtaka Mungu, miungu au mizimu kumwadhibu mhusika hasidi, mkinzani au muovu.
Sifa za maapizo
a) Yalitolewa kwa waliokwenda kinyume na matarajio ya jamii.
b) Yalifanywa mahali maalum k.v. makaburini na porini.
c) Hutolewa kwa ulaji kiapo.
d) Yalitolewa na mwathiriwa au watu maalum walioteuliwa.
e) Maapizo huaminiwa yataleta maafa kwa jamii.


|