Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Nyimbo za sifa/ au sifo na sifa zake

 (4m 4s)
3150 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Nyimbo za sifa/sifo
-Za kujisifu au kusifu mtu kwa mchango wake katika jamii.
Sifa za sifo
a) Zaweza kuwa nyiso, za arusi za kutawazwa n.k.
b) Huimbwa katika muktadha maalum k.v. arusini, jandoni, n.k.
c) Hutumia sitiari au kufananisha na mnyama, mkuki, n.k.
d) Hupiga chuku sifa za anayesifiwa.


|