Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Sifa za mivigha

 (4m 27s)
1154 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Sifa za mivigha
a) Huandamana na matendo au kanuni fulani.
b) Maleba maalum huvaliwa na wahusika kuwatofautisha na hadhira.
c) Hufanyika kwa kutumia lugha maalum au kimyakimya.
d) Kuna watu aina tatu: watendaji wanaoshiriki kuimba na kucheza, wale sherehe inafanyika kwa sababu yao na wanaoshuhudia tu.
e) Huhusisha vitendo maalum kama kula viapo, kutoa kafara.


|