Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Aina za ngano: hurafa na sifa zake:
Hurafa
-Hadithi zenye wahusika wanyama na ndege.
Sifa
a) Wahusika ni wanyama au ndege.
b) Wanyama na ndege hupewa sifa za binadamu.
c) Ni kazi ya ubunifu.
d) Huwa na ucheshi mwingi.
e) Hutumia mbinu ya uhuishi.
f) Huwa na sifa zinazohimizwa na zinazoshutumiwa.

 (4m 54s)
20632 Views     SHARE

Download as pdf file


|