Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Maana na sifa za maghani

 (4m 5s)
4015 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Maghani
-Ushairi ambao hutolewa kwa kalima.
Sifa za maghani
a) Husimulia matukio kwa kirefu hasa yanapotambwa.
b) Hutolewa kwa kalima.
c) Hutungwa papo hapo.
d) Hutongolewa mbele ya hadhira
e) Hutungwa kwa ufundi mkubwa.
f) Hutolewa na mtu mmoja au kundi la watu.


|