Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Vipera Vingine vya Hadithi: Soga na sifa zake:
- Soga ni hadithi fupi za kuchekesha zinazolenga kutania au kudhihaki.
Sifa za Soga:
a) Wahusika ni wa kubuni.
b) Hutaja ukweli unaoumiza.
c) Hutumia vichekesho kupunguza ukali wa dhihaka.
d) Hutumia chuku kupita kiasi.
e) Huhusu tukio moja.

 (3m 50s)
7059 Views     SHARE

Download as pdf file


|