Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Matumizi ya lugha katika vitendawili: Takriri, Tanakali, Kweli kinzani
Takriri
a) Huku ngo na kule ngo-giza.
b) Amezaliwa Ali, amekufa Ali, amerudi Ali-nywele.
Tanakali
a) Parrr! Mpaka Makka-utelezi.
b) Huku pi kule pi-mkia wa kondoo atembeapo.
c) Tang! Yaanguka-sarafu.

 (4m 34s)
2027 Views     SHARE

Download as pdf file


|