Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Kulinganisha vitendawili na methali: Kufanana
-Zote mbili ni tungo fupi.
-Zote mbili huwa na maana fiche.
-Zote mbili hutumia lugha inayojenga taswira.
-Zote mbili hupata maana kulingana na jamii.

 (3m 27s)
1665 Views     SHARE

Download as pdf file


|