Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Aina za Hotuba

 (5m 33s)
4999 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Aina za Hotuba
a) Risala
- Hotuba inayowasilishwa mbele ya watu kueleza jambo fulani k.m. ya wafanyakazi kwa waajiri wao.
b) Mhadhara
-Hotuba inayotolewa kwa hadhira fulani kufafanua somo au mada fulani.
c) Kumbukizi
-Hotuba zinazohusu tukio fulani la kihistoria kuhusu mtu au kitu.
d) Mahubiri
-Hotuba zinazohusu masuala ya kidini.
e) Taabili
-Hotuba kuhusu aliyeaga dunia zinazohusu sifa zake nzuri.


|