Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Matumizi ya lugha katika methali: Taswira, Chuku, Tanakali za sauti

Taswira
a) Mpanda farasi wawili hupasuka msamba.
b) Mti mkuu ukigwa wana wa ndege huyumba.
c) Mtupa jongoo hutupa na ung`ong`o wake.
d) Angeenda juu kipungu hafikii mbingu.

Chuku
a) Mzigo wa mwenzio ni kanda la sufi.
b) Maji ya kifuu bahari ya chungu.
c) Usipoziba ufa utajenga ukuta.

 (4m 44s)
11542 Views     SHARE

Download as pdf file


|