Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Ngano za mazimwi na sifa zake:
-Hadithi ambazo wahusika ni mazimwi.

Sifa
a) Wahusika ni mazimwi
b) Mazimwi huwakilisha sifa hasi za binadamu kama vile ulafi, ukatili, uovu na kadhalika.
c) Hujaa uharibifu.
d) Huwa na matumizi mengi ya fantasia.
e) Ushindi hujitokeza ( mazimwi hushindwa)
f) Ni kazi ya kubuni.
g) Huwa na maadili kama vile bidii na ukakamavu.
h) Mazimwi huwa na sifa zinazokiuka mipaka ya binadamu kama vile kinywa kisogoni, jicho
moja kubwa na kadhalika

 (6m 21s)
3411 Views     SHARE

Download as pdf file


|