Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Umuhimu wa Mighani:
a) Kutambulisha jamii kwani kila jamii ina aina yake ya mighani.
b) Kuhifadhi historia ya jamii.
c) Kusifu mashujaa katika jamii.
d) Huhimiza ujasiri miongoni mwa vijana.

 (5m 3s)
4448 Views     SHARE

Download as pdf file


|