Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Maana na sifa za nyimbo za harusi

 (3m 16s)
1439 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Nyimbo za arusi
- Zinazoimbwa wakati wa kufunga ndoa.
Sifa za nyimbo za harusi
a) Huimbwa kuonyesha hisia za wazazi, jamaa na marafiki
b) Hushauri maharusi na waliohudhuria kuhusu majukumu ya ndoa
c) Wakati mwingine husifia maharusi.


|