Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa tamthilia ya Kigogo (Pauline Kea)

Mhusika Babu katika tamthilia ya kigogo

 (3m 32s)
3395 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Mhusika Babu
1.Ni mshauri mwema.
Anamshauri Majoka abadili mienendo yake na asikie vilio vya wanasagamoyo na aone maovu aliyoyatenda.(uk 83)
2.Ni mwenye hekima.
Anathibitisha kauli kuwa maisha ni mabadiliko na maovu yana mwisho.
Anamwonya Majoka dhidi ya kuishi kwa kutojali, kuwa
hasara itamwandama akataliwe na watu asiwe mtu tena.
3.Ni mkweli
Anamshauri Majoka umuhimu wa haki ikitekelezwa na viongozi.


|