Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa tamthilia ya Kigogo (Pauline Kea)

Yanayotokea na wazo kuu katika Onyesho la tatu, tendo la pili ndani ya tamthilia ya kigogo

 (3m 54s)
2098 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Tendo la pili.(Onyesho la tatu)
Majoka akiendelea kusoma gazeti,Kenga anarejea kwa vishindo kuwa kuna habari zinazoenea katika mitandao ya kijamii na kupeperushwa katika runinga ya mzalendo.
Kenga anashauri kuwa, runinga ya mzalendo ichukuliwe hatua, maandamano yanaonekana kuharibu sherehe za uhuru.Majoka anamlaumu Chopi kwa polisi
kutowatawanya waandamanaji.
Tunu naSudi wanafika, wanaagizwa kuingia na Majoka anatoa bastola, na kuwaambia Kenga wamzuie na askari.
Wazo kuu.
Habari za maandamano zinazidi kuenea na Majoka ana wasiwasi kutimuliwa mamlakani kwa kuwa Tunu anazidi kupata umaarufu.
Viongozi hutumia vyombo vya dola visivyo,Majoka anapanga vituo vya habari vifungwe na kibakie kituo kimoja tu Sagamoyo.


|