Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa tamthilia ya Kigogo (Pauline Kea)

Umuhimu wa Tunu katika tamthilia ya kigogo

 (2m 38s)
7858 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Umuhimu wa Tunu:
-Tunu ametumika kuonyesha kuwa kuna wazalendo katika jamii ambao wamejitolea kupinga uongozi mbaya ili kuleta haki na usawa katika jamii.
-Mwandishi amemtumia mhusika Tunu kuonyesha kuwa licha ya changamoto zinazomkumba mtoto wa kike, bado ana nafasi muhimu katika ujenzi wa jamii mpya, wanawake ni muhimu katika uongozi ili kuleta maendeleo.
Aidha, anawakilisha umuhimu wa kuungana kwa vijana ili kuleta mabadiliko katika mataifa yao.


|