Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa tamthilia ya Kigogo (Pauline Kea)

Wazo kuu na Matukio ya Onyesho la nne , tendo la pili katika tamthilia ya kigogo

 (4m 29s)
1414 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Tendo la pili.(Onyesho la nne)
-Tunu na Sudi wanafika Mangweni ambapo shughuli za ulevi zimeshika kani, wanaletewa kileo lakini wanakataa.
Ngurumo anaonekana kusheherekea uhuru, kwa mujibu wa Sudi,mashujaa Sagamoyo ni waliouliwa msituni wakipigana, waliohangaisha wakoloni na kuwatimua.
-Tunu amefika Mangweni kuwaalika katika mkutano mkubwa utakaofanyika katika soko la Chapakazi siku ya maadhimisho ya uhuru.
-Kulingana na Ngurumo, mkutano huo si muhimu, cha muhimu kwake ni kuendelea kulewa kwa mamapima
Wazo kuu.
-Watu wanapumbazwa hasa walevi kwa pombe na kuendelea kutetea viongozi wasiofaa.
-Tunu na Sudi wamejitolea kutetea wanyonge Sagamoyo, wameandaa mkutano kuzindua umma.


|