Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa tamthilia ya Kigogo (Pauline Kea)

Umuhimu wa Kenga katika tamthilia ya kigogo

 (3m 59s)
5208 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Umuhimu wa Kenga
-Kenga anawakilisha washauri wabaya wa viongozi katika jamii, watu ambao nia yao ni kujinufaisha wenyewe bila kujali maslahi ya wanyonge.
Washauri ambao ni katili na hata hupanga njama za mauaji ili kuendelea jufaidi kutoka kwa viongozi.
-Anatumika kuwasuta viongozi wanaotumia
ushawishi wao kuwakandamiza wananchi.
-Kenga anaonyesha ufisadi uliopo katika mataifa kwa kuwaletea Sudi, Boza na Kombo makombo ya keki.
-Kenga anaonyesha athari za ushauri mbaya wanaopewa viongozi. Anashauri Majoka vibaya, jambo linaloletea kuuporomosha uongozi wa Majoka.


|