Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa tumbo lisiloshiba: Kidege (Robert Oduori)

Mhusika Mose katika hadithi fupi ya Kidege-Robert Oduori.

 (3m 27s)
2319 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Mhusika Mose katika hadithi fupi ya “Kidege”-Robert Oduori.
-Ni kijana ambaye bado ni mwanafunzi
-Amezaliwa mjini
-Ni rafiki yake Shirandula ambaye amezaliwa kijijini
-Anapenda kutembelea bustani ya Ilala
-Anapenda kutazama visamaki kwenye kidimbwi cha bustani hiyo
-Anapenda kuvirushia visamaki hivyo sima kila anapotembelea bustani hiyo
-Anaambiwa na Shirandula kuwa kijijini kuna visamaki vikubwa kuliko hivyo vya mjini
-Anatamani siku moja naye afike kijijini na kujionea


|