Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa tumbo lisiloshiba: Kidege (Robert Oduori)

Mhusika Shirandula katika hadithi fupi ya Kidege-Robert Oduori

 (2m 47s)
3830 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Mhusika Shirandula katika hadithi fupi ya “Kidege”-Robert Oduori
-Ni rafiki yake Mose
-Yeye amezaliwa kijijini
-Ndiye alimwambia Mose kuwa kjijini kuna samaki wakubwa kuliko wa mjini
-Alitega kitendawili kilichotaka kujua yupi bora kati ya mjenga choo na mjenga kasri Umuhimu wake
-Anarejelea vijana wenye weledi wa kueleza jambo kwa mafumbo.
-Ameonesha kuwa na uelewajui wa kuwapo rasilimali nyingi kijijini kuliko mjini.


|