Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa tumbo lisiloshiba: Kidege (Robert Oduori)

Ufaafu wa anwani “Kidege”-Robert Oduori

 (2m 42s)
6437 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Ufaafu wa anwani “Kidege”-Robert Oduori
-Anwani ya hadithi hii ni; Kidege.
- Anwani hii inasawiri maudhui yaliyomo ndani ya hadithi hii.
- Kidege ni ndege mdogo ambaye anaashiria wanyonge wa tabaka la chini.
- Wanyonge hawa wanakandamizwa kwa kudhulumiwa na midege mikubwa ambayo inaashiria tabaka la mabwana wenye nguvu.
-Hadithi hii inaeleza namna videge vilivyoungana kwa wingi wao na kuifurusha midege ambayo imevamia bustani na kuanza kuvirarua visamaki vilivyokuwa kwenye kidimbwi.


|