Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa tumbo lisiloshiba: Shibe inatumaliza (Salma Omar Hamad)

Umuhimu wa wahusika Sasa na Mbura katika hadithi Shibe Inatumaliza

 (3m 15s)
1762 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Umuhimu wa wahusika Sasa na Mbura katika hadithi “Shibe Inatumaliza”
-Wametumiwa na mwandishi kudhihirisha jinsi wananchi wenyewe wanavyochangia katika kuzorotesha nchi kwa kuachilia unyakuzi uendelee. Walioko madarakani wanakaa tayari kunyakua mara tu wapatapo fursa ya kufanya hivyo.
-Wanatumiwa kuwasilisha jinsi viongozi wakipata hongo hula, kushiba na kusahau matatizo kwani wanalala shereheni.
-Wanaashiria ushirikiano uliopo baina ya viongozi kuipoteza taifa.


|