Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa tumbo lisiloshiba: Shibe inatumaliza (Salma Omar Hamad)

Wahusika Sasa na Mbura katika tumbo lisiloshiba

 (4m 40s)
1418 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Wahusika Sasa na Mbura
-Hawa ni mawaziri wa wizara moja. Ni Wizara ya mipango na mipangilio.
-Wanafanya kazi ngumu zaidi na wizara hii ndio muhimu zaidi
-Wanafanya kazi ngumu zaidi na wizara hii ndio muhimu zaidi kuliko zote.
Sifa
-Wao hujituma ili kuhudumia taifa lao. Wanatengwa mbali na hawatambuliwi na taifa.
-Ni walafi: wanapopata fursa ya kupata mali, wanaitumia
-Wana mapuuza: ingawa wanafahamu uzembe uliopo na unyakuaji wa mali ya umma, hawachukui hatua mwafaka.


|